TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu ...